Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

PATA #Application MPYA kuhusu mafunzo ya ALAMA na SHERIA za #BARABARANI Tanzania.!! Tazama picha na video uone jinsi ya kutumia! ALAMA ZA BARABARANI MOBILE APPLICATION: Bonyeza link upakue Lite...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
wakuu nauza godoro 4*6 used,feni na gas complete kama zinavoonekana kwa picha... godoro bei 55 elfu tu gas 55 elfu tu feni 35 elfu tu... napatikana savei mlman cty Karibuni pm
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Macbook Air inauzwa .anayetaka aje PM tujadili win win situation Specs-GB 500,corei 7, 1.87 ghz ,15inch
0 Reactions
4 Replies
1K Views
bidhaa ya mfuko wa karatasi naileta kwenu wadau. kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Umuofia kwenu kama thread inavosema, nakama picha zinavoonekana, nyumba tatu ndani ya kiwanja kimoja zinauzwa uyole Mbeya. Nyumba moja ishafika juu, zingine ziko nusu nyumba zote tatu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina survey plots mbili naziweka sokoni. Ziko Puna kigamboni- umbali ni 45km kutoka ferry, umeme uko tayari, barabara ya rami imeishia 20km kutoka ferry but inaendelea kujengwa kwa phase. Bei...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sale ya Siku Mbili, Pata Domain name ya kijanja ya xyz kwa shilingi 12000 kwa mwaka, email 5 kwa shilingi 25000 kwa mwaka na wordpress hosting kwa shilingi 20,000 kwa mwaka.Ofa hii inapatikana...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Make:Nissan Model:Navara Year:1998 Engine Capacity:2779cc Fuel-Diesel Transmission:Manual Gari ipo katika hali nzuri Bei:25 millions Call:0787395557 Whatsapp:0715292210
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Sifa:single self, maji na umeme,kuwe na car parking Wadau kwa yeyote anaefahamu room Uliona anijuze Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunataka ku-print vyeti vya wanafunzi wetu wa chuo cha hotel, tourism, computer(veta reg.) ila chngamoto ni printing press gani nzuri inayotoa vyeti bora ambavyo hata mtu akitaka kufoji aumize...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Habari? Nilipo natafuta viatu vya Mpira (adidas/puma). anayeuza aje pm tufanye biashara.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Igiha lightening cream inaondoa chunusi, madoa, inalainisha ngozi inaondoa makunyanzi na kukufanya uwe na weupe mzuri mwili mzima bila kukuachia sugu tuna mawakala baadhi ya mikoa ya Tanzania na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninatengeneza na kubuni madirisha na mageti, yenye urembo na maua yenye kuvutia na kuipendezesha nyumba au ofisi yako. Ninapatikana Mbezi Msakuzi mtaa wa Lubaba. Mawasiliano: 0716355787
1 Reactions
1 Replies
992 Views
Wanajamvi kwa yeyote anaeweza kunisaidia upatikanaji wa COIL ya pikpik tajwa iwe mpya au used anijulishe ninauhitaji nayo sana. Namba 0715100687.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Kama heading ilivo hapo juu, kwa Wenye uhitaji wa shamba au kiwanja maeneo ya kigamboni..... Wote mnakaribishwa Mawasiliano 0765407824
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana Jukwaa. Chuo cha Maji kinatoa huduma zifuataza katika sector ya maji na mazingira: · Utafiti wa maji ya ardhini (groundwater exploration). · Usimamizi na uchimbaji wa...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi, Nilikuwa natafuta eneo la shamba ambalo liko katika miundombinu ya umeme na maji maeneo ya kibaha. Sio lazima iwe karibu na barabara kuu, hata likiwa ndani itakuwa poa endapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nauza ear phones kwa bei rahisi mno Ni imara Zina base Sauti murua Waya mgumu Ni ndefu na zina urefu wa kuridhisha Zinadumu sana Kiukweli hutojutia kununua Bei ni tsh 5000/= tu
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom