Viwanja Mwanza

Viwanja Mwanza

The Hidden

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
246
Reaction score
102
Ndugu wanaJF, nahitaji kiwanja Mwanza kwa gharama isiyozidi million 2 kamili,kiwe tambarare, maeneo yaliyopimwa na karibu na huduma za maji na umeme kwa mwenye nacho ama mwenye taarifa tuwasiliane.

Ahsanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanaJF, nahitaji kiwanja Mwanza kwa gharama isiyozidi million 2 kamili,kiwe tambarare, maeneo yaliyopimwa na karibu na huduma za maji na umeme kwa mwenye nacho ama mwenye taarifa tuwasiliane 0753963917.

Ahsanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo pesa tafuta SHAMBA mbali na mji kama km
Ndugu wanaJF, nahitaji kiwanja Mwanza kwa gharama isiyozidi million 2 kamili,kiwe tambarare, maeneo yaliyopimwa na karibu na huduma za maji na umeme kwa mwenye nacho ama mwenye taarifa tuwasiliane 0753963917.

Ahsanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo pesa 2,000,000 tafuta SHAMBA km 30 toka mjini ukubwa wa 30*40 meter maana kwa jiji gharama zao ni 6,000-10,000 tsh kwa square meter ( viwanja uanzia 500-1000) residential
 
Nunacho Buswelu karibu na makao makuu ya wilaya, kimepimwa na kina hati. Ukubwa wake wake 757 m2. Kama una 15 m tuongee. Hiyo pesa ni ndogo huwezi pata kiwanja kilichopimwa na kiko kwenye maeneo yenye maji na umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni jirani yangu karibu na national housing
 
Mi nashindwa kuelewa anaweza pata wapi kiwanja cha bei hiyo. Labda kama si mjini. Aende pembezini sana ambapo atapanda daladala kea sh.2000.

Sent using Jamii Forums mobile app
Igoma na busweru vipo kuna mdogo wangu alinistua nikawa sina hela mwanza kuna nafuu kwwnye viwanja tofauti na utapeli ulioko arusha unauziwa kwa chumba kimoja laki 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanaJF, nahitaji kiwanja Mwanza kwa gharama isiyozidi million 2 kamili,kiwe tambarare, maeneo yaliyopimwa na karibu na huduma za maji na umeme kwa mwenye nacho ama mwenye taarifa tuwasiliane 0753963917.

Ahsanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
vipo viwili vimepakana vinauzwa million saba, kila kimoja 3.5 million, vipo maeneo ya Kigala-Buswelu.
 
Nami nahitaji mkuje wenye viwanja, kiwe Airport to Buhongwa Road. Asante
 
Back
Top Bottom