Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,700
Ukubwa wa eneo ni sqm400 ambalo lipo tambarale(bila kijimlima wala muinuko wa aina yoyote).
Bei ni milioni sita na makubaliano yanaweza yakafanyika ukalipa nusu ya gharama ya eneo ambayo ni milioni3 kisha nyengine ukamalizia ndani ya muda wa makubaliano.
Nimeambatanisha picha ili upate taswira ya eneo.
Tuwasiliane kwa nambari 0689699704