Wataalamu wa kunyoosha na kupiga magari rangi
Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil
0688767668/0715967107
Info@autogurugarage.co.tz
Gx110 ilikuwa white sasa ni black
Kwa wanaopenda high speed laps
HP Pavillion hdd 1TB
Ram 16gb
Speed 2.9ghz
Core i7
B&O play
nVDIA GeForce 940MX discrete 4gb graphics
Bei 850k pm km inakufaa
Nauza Pikipiki aina ya boxer hapo chini
Bei Tshs. 1,400,000/= (Million moja na laki nne tu).
Nipo Singida.
SIFA ZAKE:-
Ina Kadi
Ina Risiti zote (ya manunuzi na Bima)
Bima (inaisha April 2018)...
Habari,
Wakuu kama heading inavyoeleza nahitaji cherehani hizi za kawaida (singer au butterfly). Kama kuna muuzaji tafadhari naomba uje PM. Napatikana dsm.
NB: Najua nikienda k/koo nitapata but...
Habar wanajamii!
Nimefungua kampuni yangu ya Fumigation and Pest Control hapa Arusha Kwa wenye Changamoto ya wadudu kama
Mende, kunguni, mchwa, sisimizi, Panya n.k katika maeneo ya
Mahotel...
Natafuta kazi ya kuuza duka,super market na vinginevyo ninaweza kuongea kiswahili na kingereza vizuri ni muaminifu sana nitafute kupitia email prettykimaro@yahoo.com
Habarini wakuu nauza vitu vya ndani kama ifuatavyo,,,,
Sumsung tv inch 24.
Bei yake ni 300,000 Tsh.
Fridge aina ya MENGCHI
bei yake ni 220,000 Tsh.
Kabati la nguo milango mitatu lenye dressing...
Natumaini ni wazima humu.
Jamani hali ngumu hasa kwa tuliopata kazi hivi karibuni na kuanza maisha, uwezo wa kununua vitu kwa pamoja ni changamoto, utakuta unahitaji kitanda, meza, jiko, fridge...
-Vyumba viwili self ( yaani sebule, chumba, choo na bafu..choo na bafu vipo chumbani)..
-Vipo kigamboni- vijibweni, vipo karibu na kituo cha mabasi mwembeni barabara ya darajani kama dakika 2 tu...
Habari zenu wana jf. Naombeni msaada kwa yeyote anaejua ambako naweza kupata asali mbichi original. nipo mbeya. Nimekua nikitumia za supermarket lakini hazizai matunda.
Mimi nina biashara yangu ya asali mbichi kutoka tabora kwa yeyote mwenye uhitaji anitafute kupitia hii namba 0654553163 napatikana dar es salaam nauza kwa lita na jumla bei rahisi tu wasiliane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.