Jengo /frame za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM

Jengo /frame za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM

nalo neno

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
89
Reaction score
41
Jengo /frame za kisasa kubwa za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM laki 5 kwa mwezi kila moja. Lipo karibu na tawi la CRDB kijichi.

Jengo linafaha kwa shughuli za ofisi au biashara ambayo itaweka jengo katika mazingira ya usafi muda wote. Eneo kubwa la parking ya magari

Mazungumzo yapo.
Karibu inbox [emoji395]
 
Back
Top Bottom