Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wadau nauliza chuo kizuli cha kusoma kozi ya VIDEO SHOOTNG. Mahali kilipo Gharama zao Na contacts zao
0 Reactions
4 Replies
3K Views
TUMIA KADI YA GARI KUPATA MKOPO WA HARAKA NDANI YA MASAA 24. Kwa mahitaji yako ya KIFEDHA,BIASHARA,au MAMBO YAKO BINAFSI kama KULIPA ADA YA SHULE,CHUO,KILIPIA KODI ZA MAKAZI,BIASHARA,GHARAMA ZA...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwa wanaofaham, kwa sasa gunia la kg 100 la vitunguu ni bei gani? Kwa soko la temeke.
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Hodi, Natafuta chumba cha self-contained hapa Dar, mimi ni mkazi wa kudumu...ila kwakuwa ndo nimeanza kazi (nimetolewa mkoani na Kampuni), naomba ntaanza kwa kulipa kodi ya mwezi mmoja mmoja hadi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji wino wa Printer na maelekezo jinsi ya kuweka ktk printer. Bei ya wino pamoja na wapi naweza pata. Nipo Dar es Salaam
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ni Eneo la Hekari 50 lililopo Tonga malenga (Ruaha IRINGA).Unaweza kulitumia kwa kujenga sehemu ya watalii (Camp site) kwa sababu wanyama toka mbuga ya Ruaha (Ruaha National park ) hua wanatembea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikifaa ambacho kina kazi mbili. kazi ya kwanza ni kwaajiri ya ulinzi (security) kita kushtua pale endapo mtu ataingia ndani kwako pasipo ruhusa yako wakati ukiwa umelala. Kazi ya pili ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Habari za leo. Mimi ni mfugaji wa samaki, tayari nina mabwawa matatu ya samaki na nimeshaweka vifaranga vya samaki ambavyo vina miezi minne. mabwawa yangu ni makubwa na mazuri sana...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Kuna kazi ya kusafirisha Contena 19 za 20ft Kasama ZAMBIA,mzigo uliomo ni MBOLEA. Natafuta gari 19 zenye uwezo wa kubeba contena za 20ft kupeleka na kuzirudisha.Yeyote mwenye...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari. Kwa mwenye kufahamu wapi naweza pata Paper Transfer kwa ajili ya Sublimation. Mkoa Dodoma
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Kama unataka kulimiwa tafadhali twambie Eneo lako liko wap na ukubwa wake kiasi gani Kisha sisi tuta jua tunakufikiaje.. Ikiwezekana njoo dm utupe number zako na maelekezo yawunataka kulimiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehitaji kuwekez kwenye mashamba ya miti mkoa wa njombe anitafute 0764625417 yapo mashamba ambayo yamekwishapandwa tayari na miti ipo kwenye hali nzuri ya ukuaji mashamba yanauzwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Samsung j7 galaxy 2016 Imetumika miezi kumi hadi kufika leo. Bei 250k. Sehemu ni dar pugu.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wazima wakuu. naitaji kuchimba kisima maeneo ya VIGWAZA MBUYUNI naomba mwenye kujua gharama za pale kwa wale wenye uzoefu na maeneo ya uko. pia naomba mwenye contact za company za uchimbaji .kuna...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Mambo vip wana jf je una biashara yako? na unapenda kuitangaza kupitia blog au web site usiogope kutana na mzizimpya akutengenezee blog ya bei rahisi kabisa ni shilingi 5000 tu Au pitia blog...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Nauza pasi ya umeme aina ya Panasonic, Bei 25000 kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0693289203
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ukubwa 25x25, 40x35, 40x40.ni sehemu tambarere gari linafika mpaka mlangoni. Dalali hatakiwa bei inaanzia 2milioni na maongezi yapo. Contact 0714812375 0784821832
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya boxer inauzwq 900k maelewano yapo njoo ukague IPO katika hali nzuri. napatikana kigamboni Dar es salaam. Phone 0653435142
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwema humu? Mahali: Tabata Kimanga, MAWENZI (Mita 20-25 kutoka kituo cha daladala maeneo wanapochoma chips) Kodi: 80,000 ilipwe kwa miezi 6 Kwa mawasiliano 0622 588 062
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo zuri na muafaka kwa kuwekeza... Kilimo /ufugaji. Lipo Bagamoyo , pale makurunge njiapanda ya kuelekea saadani bei ni 3.5m@ heka moja na kuna ekari mbili. Umeme upo jirani 0716548250
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…