Shamba zuri Bagamoyo

Shamba zuri Bagamoyo

tejateja

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,626
Reaction score
979
Eneo zuri na muafaka kwa kuwekeza... Kilimo /ufugaji. Lipo Bagamoyo , pale makurunge njiapanda ya kuelekea saadani bei ni 3.5m@ heka moja na kuna ekari mbili. Umeme upo jirani
0716548250
 
Napajua pale hata hotel ya kisasa panafaa natumai kitanunuliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom