WINCH Member Joined May 3, 2016 Posts 71 Reaction score 23 Feb 10, 2018 #1 Kwema humu? Mahali: Tabata Kimanga, MAWENZI (Mita 20-25 kutoka kituo cha daladala maeneo wanapochoma chips) Kodi: 80,000 ilipwe kwa miezi 6 Kwa mawasiliano 0622 588 062
Kwema humu? Mahali: Tabata Kimanga, MAWENZI (Mita 20-25 kutoka kituo cha daladala maeneo wanapochoma chips) Kodi: 80,000 ilipwe kwa miezi 6 Kwa mawasiliano 0622 588 062
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,337 Reaction score 7,755 Feb 10, 2018 #2 Picha iko wapi?mpya au ya zamani?Aliyekuwepo alishindwa nini?
WINCH Member Joined May 3, 2016 Posts 71 Reaction score 23 Feb 10, 2018 Thread starter #3 kedekede said: Picha iko wapi?mpya au ya zamani?Aliyekuwepo alishindwa nini? Click to expand... Sio mpya mkuu, kuna mtu alichukua ila mambo yakaingiliana akaamua kuirudisha. Picha nitaweka badae nikipiga.
kedekede said: Picha iko wapi?mpya au ya zamani?Aliyekuwepo alishindwa nini? Click to expand... Sio mpya mkuu, kuna mtu alichukua ila mambo yakaingiliana akaamua kuirudisha. Picha nitaweka badae nikipiga.
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Feb 10, 2018 #4 Siku hizi ni mwez mmoja maximum miezi miwili baba! Hizo za miezi sita au mwaka peleka pale mbele baada ya chalinze ukitokea dar.
Siku hizi ni mwez mmoja maximum miezi miwili baba! Hizo za miezi sita au mwaka peleka pale mbele baada ya chalinze ukitokea dar.
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Feb 11, 2018 #5 Weka picha kwanza ndo tujue