Natafuta sehemu ambayo ntaweza ku chapisha vitabu ila iwe kwa bei nafuu. Anayejua aniambie kwa ni bei gan kwa kurasa moja, na nakala ngap wanaanzia? Ipo sehemi gan hapa dar. Tafadhal
HABARI,
AFYA NI UTAJIRI.
ETERNAL INTERNATIONAL LTD
Ni kliniki inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili.
Pia tunatoa...
HI THERE!
Kama kawaida method mpya za free internet zinaongezeka sasa nimekuja ni free internet yenye kasi zaidi ya ile ya mwanzo
Hii itawafaa sana wale watumiaji wa pc wanaopenda kushusha...
Tafadhali wadau naomba mnisaidie wenye uzoefu na huu mradi
napenda kujua mambo ya fuatayo
1:Bei za mashine za Manual 4sreens ikiwa complete
2:Bei ya matishirt kwa jumla jumla..ni bei gan na...
HABARI ZA ASUBUHI, AMKA NASI NA UJENZI. USIKARIBISHE MAJAMBAZI KWENYE UJENZI WAKO, NA WALA USIKATISHE MAJUKUMU MENGINE ETI KISA UNAENDA DUKANI. INGIA KWENYE KOMPYUTA POPOTE ULIPO NA UNUNUE...
Habari wakuu,,natafuta mtu anayeweza nifundisha jinsi ya kutengeneza furniture za kisasa ikiwemo royal sofas,coffee tables n.k,,,nimehangaika nimekosa nimeona nilete hapa kwenu wakuu...
Habari wadau,
Naomba kujua kama kuna mtu anayefahamu mtu au kiwanda kinachouza mifuko migumu ya karatasi (kama ile inayotumika kufungashia cement).
Natanguliza shukrani.
Wadau nauza simu tajwa hapo juu. Simu hii imetumika miezi 3 tu.
Simu hii inatatizo, imepasuka kioo, lakini kioo kimeshanunuliwa hivyo ukinunua simu unapewa na kioo ukabadilishe kwa fundi...
Ndg Eneo Linauzwa Lipo Kinyerezi Kifuru Mtaa wa Hali ya Hewa
Ukubwa wa Eneo 35*25
Lina Hati Miliki na Pia lina nyumba amabayo aijamalizika
Eneo halina Mgogoro
Bei Milion 17
Mawasiliano...
Wapendwa nauza nguo za watoto nzuri jumla zipo chache nilikuwa nauza sasa naondoka Tz kwa atakae hitaji..serious buyer only nichek whatsaap 0716973403 kwa picha za nguo
Habari waungwana. Kwa mara nyingine napandisha Uzi kuomba MSAADA wa kujua gharama Za vifaa vya Saloon n.a wapi naeza pata. NAHTAJI vioo viwili, machine Mbili na stabilizer. NAHTAJI MSAADA wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.