Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hii simu nimeinunua mpya hata wiki mbili hazijaisha ila nmepata emergence I need the cash.<br />Ipo kwenye very good condition, Kila kitu chake kipo mpaka warrant seal. Napatikana Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
926 Views
kama una pata shida kwenye kutafuta windows 10 na nyinginezo.catch me on whatsapp 0657586916
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa kama ifuatavyo; urefu hatua 30 * upana hatua 20. Kiwanja hiki kiko mita 200 kutoka barabara kuu, na kipo eneo zuri kwa makazi na biashara.Kina msingi wa nyumba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukihitaji kununua kiwanja maeneo ya majohe ukonga, mnadani pugu, chanika, mvuti , bonyokwa kinyerezi na masaki kisarawe nioneni. 0762256314
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibu kwa mkazi wa Mbeya kuwafariji watoto yatima Katika kituo cha watoto yatima IWAMBI Mbeya ni siku ya jumamosi ya tarehe 10/02/2018 na wewe ulieko nje ya Mbeya, unaweza kwenda Katika kituo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KIWANJA CHA KWANZA KIPO ENEO LA CHUO CHA MIPANGO DODOMA *UKUBWA. 25*20 *BEI..... 8MIL *UHALALI.. HATI ZIPO KIWANJA CHA PILI KIPO ENEO LA CHUO CHA MIPANGO DODOMA *UKUBWA ....35*30 *BEI...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Habari wanaharakati wa JF, tunapenda kuwatangazia wateja wetu ambao wanapenda kuchora tattoo inayo futika ( elimination tattoo ) na isiyofutika ( permanent tattoo ) tunachora vizuri na kwa ubora...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi zile mashine za iceing sugar zinauzwa wapi kwa hapa Dar es salaam na wanauzaje? nina shida nazo wakuu na je unga wa iceing sugar mnanunuaga wapi na unauzwaje? Kwa hapa Dar maana leo...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Computer/Laptop Yako inasumbua? Wasiliana na team nzima ya JIMZ Technologies Co. Ltd wakutengenezee computer/laptop yako Sasa! S Tunapatikana Kituo cha Msamvu, Morogoro. Tupigie Sasa kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasaalam wanabod, nnaomba kwa mwenye mawaziliano/ namba za simu za kampuni ya usafirishaj mizigo kutoka au kupitia Nyakanazi kwenda Dar es salaam anisaidie. Natanguliza shkrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu wana jamii.. Kuna viwanja vinatangazwa sana Huko kigambini Mwasonga.. Kama unaelekea Dar Zoo Bei wanasema ni 2500/ = kwa sqm.. Yaan 20*30 ambayo ni 600sqm wanauza kwa 1.5milion...
2 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari yenu wana jamvi. Napenda kuitambulisha kwenu huduma ya "delivery" itolewayo na P2P Delivery Services. Kama umenunua bidhaa iwe ni nguo, mafuta, viatu, vipodozi na kadhalika na hauna muda wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii simu nimeinunua mpya hata wiki mbili hazijaisha ila nmepata emergence I need the cash. Ipo kwenye very good condition, Kila kitu chake kipo mpaka warrant seal. Napatikana Dar es Salaam, kama...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Nauza mayai ya kuku wa kienyeji napatikana Dar es salaam kwa mawasiliano unaweza nipigia kwenye namba 0755638343
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kchwa knavyojieleza hapo juu Simu ina mwezi tu tangu inunuliwe Inauzwa kwasababu maalum bei ni ya kitonga Laki mbili tu (200000)
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nauza mbwa aina ya maltese bei ni laki nne maelewano yapo kwa number hii 0719708708ameshachomwa chanjo zote karibuni amebakia huyo.
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Noah iliyotunzwa vizuri inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo. AINA YA GARI:Toyota noah LOCATION; Dar es salaam REG NO; T 764 CTF BEI; 11.7million (Maongezi yapo) MAWASILIANO; 0719308160
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom