Nauza kitanda cha chuma 4*6 kwa bei ya 250,000 tu, kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo
Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
Jipatie kiwanja chako sasa kwa Mkopo wa miezi 72. Viwanja vyetu vimepimwa vina hati miliki kutoka wizarani.
Malipo ya awali ni 25% kisha iliyobaki utailipa taratibu kila mwezi kwa miezi 72...
Nyumba self contained yenye vyumba vinne vikubwa ipo kwenye kitalu namba 539,Block F, Ubungo maziwa karibu na Mabibo inapangishwa kwa Tsh laki nne (mazungumzo yapo)
Nyumba iko karibu na Kituo...
Habarini wadau.
Nahitaji kushonesha suti za Harusi, nipo Dar kwa yeyote anayemjua Fundi mzuri aniwekee namba zake hapa tafadhali. Please aliye na reasonable price. Thanks
Ndugu mpendwa
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu
ENEO la ziwani hekari 30 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,
SIFA ZA ENEO...
Wadau habari ya muda!?
Mwenzenu nimeweka bajeti ya laki NNE(400,000) kwa ajili ya simu ya aina ya android!!
Naombeni ushauri simu gani nzuri naweza ipata kwa hela hiyo!
Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika...
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
Habari wanaJF
Natafuta mtu/company inyotengeneza vitabu vya malipo kwa ajili ya comapny/organization kama nilivyoorodhesha hapo chini:-
1. Cash Book
2. Payment Voucher
3. Pretty Cash Expenses...
kama kuna mtu yeyote anayeweza kutumia vizuri fire extinguisher, pia kuelekeza namna ya kutumia kwa watu wengine waliopo ofisini anitafute 0624 056531 kabla ya mwezi wa nne,2018
Kwa wenye uhitaji ujenz wa gharama nafuu wa nyumba za kisasa michoro na ushauri wa kitaalam tuna mafundi waliobobea.
Tunajenga na kukamilisha kulingana na makubaliano.
Wadau kama taarifa inavyojieleza, natafuta mdau wa kuniuzia korosho zilizobanguliwa kwa ajili ya kutuma nje ya nchi.
This is a serious deal, tafadhali weka mawasiliano yako hapa nikutafute...
Habarini wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza.
Natafuta mashine ya kisasa ya kukamua miwa na kutengenezea juice inayopatikana hapa nchini hasa mkoani Dar es salaam ??
Mashine ya kisasa hasa zile...
Ni utaratibu gani natakiwa kufwata ili niweze kuanzisha biashara ya kokoto. Kwa maana ya kufunga KRASHA la kuvunjia mawe.
Utaratibu ni upi huko serekalini?
Mwenye idea na hii kazi naomba uzoefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.