Ujenzi Uchoraji wa ramani na Ushauri nyumba za kisasa kwa Bei ndongo

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,732
7,606
Kwa wenye uhitaji ujenz wa gharama nafuu wa nyumba za kisasa michoro na ushauri wa kitaalam tuna mafundi waliobobea.
Tunajenga na kukamilisha kulingana na makubaliano.
 
Kwa wenye uhitaji ujenz wa gharama nafuu wa nyumba za kisasa michoro na ushauri wa kitaalam tuna mafundi waliobobea.
Tunajenga na kukamilisha kulingana na makubaliano.
Kwahiyo unapatikanaje.....maana haujaweka hata mawasiliano ya simu......utadhani umeleta tangazo la msiba
 
Nahitaji ramani simple ya vyumba viwili vya kulala,(kimoja masta) na sebule.Mwenye uwezo wa kunichorea aje PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom