Vitabu ya Malipo

Vitabu ya Malipo

jajcom

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
198
Habari wanaJF
Natafuta mtu/company inyotengeneza vitabu vya malipo kwa ajili ya comapny/organization kama nilivyoorodhesha hapo chini:-

1. Cash Book
2. Payment Voucher
3. Pretty Cash Expenses

Naomba kufahamishwa wahusika/company inayofanya hiyo kazi kwa DSM.

Ahsanteni
 
Tucheki Bongo Tech ,Kigamboni DSM
Tunaandaa system hizi baada ya kukaa na wewe na kujua operation zako za day to day.
Tunaandaa manual na kwa software.
0713-039875
 
Back
Top Bottom