Natafuta mashine ya kisasa ya kukamua miwa

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
596
Reaction score
881
Habarini wakuu,

Kichwa cha habari kinajieleza.
Natafuta mashine ya kisasa ya kukamua miwa na kutengenezea juice inayopatikana hapa nchini hasa mkoani Dar es salaam ??
Mashine ya kisasa hasa zile za kichina itakuwa bora zaidi.Mwenye ufahamu wakuu naomba mwongozo wenu.

Mfano ni wa kama kiwenye picha hapa chini.

466861
 
Hizo ziko Nairobi hapa Tra inapiga kodi kumbwa
 
Z

Zpo mkuu ngoja ntakuunganisha na jamaaa npgie 0784616544
 
Habarini wakuu,

Kichwa cha habari kinajieleza.
Natafuta mashine ya kisasa ya kukamua miwa na kutengenezea juice inayopatikana hapa nchini hasa mkoani Dar es salaam ??
Mashine ya kisasa hasa zile za kichina itakuwa bora zaidi.Mwenye ufahamu wakuu naomba mwongozo wenu.

Mfano ni wa kama kiwenye picha hapa chini.

466861
Jamaa anazoo ndg ntakuunganisha naye 0784616544
 
Iko model hii ya kisasa unaweza adjust rollers
1,200,000
Tuwasiliane 0713662655 Dumbuya
HTB1uEBrHVXXXXb2XXXXq6xXFXXX0.jpg
 
Hizo ziko Nairobi hapa Tra inapiga kodi kumbwa
Sijaelewa..TRA wanapiga kodi kubwa kwenye kuingiza au kuuza ??Kwani hata Nairobi nikiichukua si itanibidi niingize tena nchini.Si nitakuwa ninalipa kodi mara mbili !!!
 
Back
Top Bottom