Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nimeshawishika kuleta bandiko hili baada ya kuona na kusikia kutoka Star TV urahisi wa kutengeneza jokofu la kiasili lisilohitaji matumizi ya umeme lakini lenye uwezo wa kuhifadhi vyakula vibichi...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Anza kujitengenezea kwa kuvuna bitcoin zako kwa kutumia kompyuta/laptop yako/zako wewe mwenyewe kama wewe kwa idadi ya kompyuta unazoweza kuzitumia Wewe au pamoja na kundi la watu wako. Hela...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Samahani wadau nahitaji .machine ya kuchana mbao kwenye karakana yangu.machine hiyo ni aina ya rip machine. Msaada ni wapi zinauzwa kwa Tanzania hii
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika...
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Nauza kitanda cha chuma futi 4*6 kwa bei ya 250,000 tu Kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo na unaweza ukakibeba uku kikiwa kimekunjwa hasa kama wewe ni mtu wa kuhama hama nyumba...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
samsung c7pro bado iko vizur haijachunika wa haina krek nichek hapa 0738579574.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea...
11 Reactions
150 Replies
17K Views
Habar za sikuku wakuuu?? kama kichwa habar kinavyo sema hapo juu engine imetumika miezi 6 tuu na ni 24horse power na msumeno umetumika kwa mwaka mmoja gharama ya mauzo ni 2.5ml Kwa wale ambao...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
+255 657 685 268 WhatsApp! Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha! 1 chumba master 2 vyumba vya kawaida Sebure, Dining, jiko na...
2 Reactions
29 Replies
20K Views
Wapendwa, kwa anaefahamu ninapoweza kupata mashine za kushonea za kutumia Mkono wanapouza kwa bei ya jumla, unahitaji kufanya biashara. 0786133399
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama una noah no D unauza arusha au moshi nichek whatsap no +97455783566
0 Reactions
2 Replies
790 Views
QKaccount is php based web application that help you to manage your stock. Update stock, purchase and sales from anywhere, Office, Home, Warehouse or on the go. You only need internet connection...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Kama upo arusha au Moshi unauza gari noah namba D iwe haijawahi kuanguka/kunyooshwa nicheck whatsap no +97455783566 tuzungumze,,pia tuma picha za gari
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Pls Wadau! Mwenye ofisi ya kupanga au anayejua inapopatikana aniitumie taarifa mapema kabla ya kesho Ijumaa: pangolinconsultants16@gmail.com Maeneo: Along Mwendokasi Rd: Kimara-Posta...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Natafuta mtu nwenye uzoefu wa kuandika research proposal. Sihitaji kuandikiwa nataka tu yeye aipitie na kutoa ushauri kabla hijamfikia supervisor wangu. Ambaye yupo tayar an pm ili tuyajenge
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Pls mwenye ofisi ya kupanga au anayejua inapopatikana aNitumie taarifa mapema: pangolinconsultants16@gmail.com Maeneo: Alongo Mwendokasi: Kimara-Posta, Kimara-Gerezani, Kimara-Morocco Only...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Ndugu wana JF, Kwa yeyote ambae ana simu ya ONETOUCH ALCATEL aina kama hyo inavyoonekana kwenye picha, ambayo imezingua ila kioo ni kizima naomba anitafute kwa 0714027443 tufanye biashara...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Wadau salam, Bila mbwembwe, nauza line tajwa hapo juu, mwenye uhitaji njoo PM, bei tutaelewana. Line zote zinafanya kazi hadi kesho. Ahsanteni.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom