Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Pikipiki aina ya Boxer kama inavyoonekana kwenye picha inauzwa kwa bei ya shilingi laki saba (700,000/=). Ni nzuri ila haina betri hivyo inawashwa kwa kukanyaga (kick). Tofauti ya hilo aina tatizo...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanajamvi Nataka kufungua Salooni ya kiume (barber shop) nimeenda Mwanza kuulizia vifaa hivyo vya saloon nimekuta vinapunja sana naomba kwa mtu anayejua duka ambalo naweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
natafuta suzuki escudo manual. mwenye nayo aje inbox please.. Sihitaji madalali tafadhali
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Wakuu Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye urefu futi sita, upana futi 2.5 .... 3.5, kimo km futi 3 (ile ambayo mtu akikalia kiti cha kiofisi basi anaweza kuandika au kufanya mambo mengine vzr...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Deleted by author
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Mambo mwenye flat screen nch 22 - 24 naomba tuwasiliane nahitaji sana bajeti yangu ni 200,000 mkononi plz serious kama unayo nicheki 0654846084 kama sipatikani naomba unipm
1 Reactions
0 Replies
488 Views
Wakuu, kwanza namshukuru MUNGU nimeingia bongo Leo baada ya muda mrefu kidogo...shida yangu ni Moja naomba mnisaidie nahtaji kwenda karume KESHO asubuhi sana...sasa naomba mnisaidie machimbo yepi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa Mita 30 kwa 17 kwa 20 chenye nyumba mbili zilizo kwenye lenta kinauzwa.Nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala kimoja selfu,choo,sebule,dining na jiko Nyingine ina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana. Bei Tsh, 2,400,000 Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja Ufanisi ni 95% tegemea na ubora wa mayai yako Nishati inayotumia...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Habarini Ndugu, Nlikua naomba kufahamishwa bei ya matanki ya maji ya lita 1000 na 2000. Naomba nifahamishwe kuhusu product za simtank,polytank na kiboko. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Kwa wale wanaohitaj fundi cm nipo sina ofisi Kama utakua na ofis na unahitaj fund mi nipo tayar kufanya kazi muda wowote!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IPO katika hali nzuri...nicheki pm tufanye biashara...nimefunga biashara ya stationery. Mashine type ni canon ir2034
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanaforum napenda kuwasilisha na naombeni msaada katika hili, nina ndoto za kununua tractor ila sina kipato kikubwa kiniwezeshacho kumiliki jipya ila used tena yale ambayo yametelekezwa na wale...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
0784221187 nitafute tufanye biashara wadau
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Let's video chat and text on imo! Get the free app imo free video calls and chat for Android and iPhone - click to download
0 Reactions
1 Replies
621 Views
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida. Haitumii betri Rahis kubeba...
1 Reactions
1 Replies
12K Views
Ninaomba wakala yeyote wa nyumba anisaidie kutafuta
1 Reactions
1 Replies
682 Views
Gari ni mzuri sana. Imetembea kilometers 120,000. TD 42 engine. Suspension safi kabisa. Haijawahi kuguswa chochote. Performance take ni nzuri sana. Bei 30mil Tuwaskliane 0714-943684
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji kununua external hard drive 1TB or 2TB.
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Back
Top Bottom