radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Mar 7, 2018 #1 Habari wanajukwaa, Kwa mwenye mfuniko wa simu tecno j5 unatafutwa kwa hali na mali kama unao tafadhali tufanye biashara.
Habari wanajukwaa, Kwa mwenye mfuniko wa simu tecno j5 unatafutwa kwa hali na mali kama unao tafadhali tufanye biashara.
last king of uscoch JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 2,751 Reaction score 3,999 Mar 7, 2018 #2 Una sh.ngapi
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,359 Reaction score 109,977 Mar 7, 2018 #3 Njoo uchukue mfuniko wa redio ya Rising
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 604 Mar 7, 2018 #4 Zunguka kwenye vibanda vya mafundi simu, hutamaliza vitatu~vinne bila kuupata au watakuelekeza kwa kuupata.
Zunguka kwenye vibanda vya mafundi simu, hutamaliza vitatu~vinne bila kuupata au watakuelekeza kwa kuupata.
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Mar 7, 2018 Thread starter #5 Wajad said: Zunguka kwenye vibanda vya mafundi simu, hutamaliza vitatu~vinne bila kuupata au watakuelekeza kwa kuupata. Click to expand... Nimekosa kariakoo nzima mkuu
Wajad said: Zunguka kwenye vibanda vya mafundi simu, hutamaliza vitatu~vinne bila kuupata au watakuelekeza kwa kuupata. Click to expand... Nimekosa kariakoo nzima mkuu
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 604 Mar 7, 2018 #6 radika said: Nimekosa kariakoo nzima mkuu Click to expand... Pole mkuu. Kama hutojali umaridadi waambieni wakuundie wa bandia (modification) kwa kuwa hakuna kinachoshindikana kwa m Bongo.
radika said: Nimekosa kariakoo nzima mkuu Click to expand... Pole mkuu. Kama hutojali umaridadi waambieni wakuundie wa bandia (modification) kwa kuwa hakuna kinachoshindikana kwa m Bongo.