Msaada wa kupata simu nzuri toka dukani

Msaada wa kupata simu nzuri toka dukani

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Wadau habari ya muda!?

Mwenzenu nimeweka bajeti ya laki NNE(400,000) kwa ajili ya simu ya aina ya android!!

Naombeni ushauri simu gani nzuri naweza ipata kwa hela hiyo!
 
aaaah yote hiiyo...
nenda kachukue samsung torch 50,000 tu
unapiga simu, unatuma na kupokea message, unaweka alarm asubuh na umeme ukikatika inakupa mwanga huku inakupa assurance ya chaji wiki kwa hali ya umeme ilivyo sasa itakufaa sana karibu!!
 
Kanunue samsung galaxy s
Nadhani galaxy s5 utapata kwa bei hiyo ila sina uhakika
 
Kanunue samsung galaxy s
Nadhani galaxy s5 utapata kwa bei hiyo ila sina uhakika
Pale makumbusho stendi pana jamaa anauza simu mpya kwa bei rahisi sana. Nadhani kwa bajeti yake anaweza kupata S series nzuri kabisa au Galaxy Note 2/3.
 
Back
Top Bottom