Anayemjua Fundi Mzuri wa Suti-Dar

Anayemjua Fundi Mzuri wa Suti-Dar

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,540
Reaction score
7,371
Habarini wadau.
Nahitaji kushonesha suti za Harusi, nipo Dar kwa yeyote anayemjua Fundi mzuri aniwekee namba zake hapa tafadhali. Please aliye na reasonable price. Thanks
 
Habarini wadau.
Nahitaji kushonesha suti za Harusi, nipo Dar kwa yeyote anayemjua Fundi mzuri aniwekee namba zake hapa tafadhali. Please aliye na reasonable price. Thanks

Kuna fundi bt anashona pvt i mean designer... Vipi nikupe number ake...
 
0659692563 number hiyoo mkuu... Huyoo jamaa ni designer wa suti nzuri bt ana mafundi wake... Am sure utaipata suti yako kwa wakati
 
Kimji ndiye fundi bingwa dar Es salaam nzima.makutano ya samora na Morogoro road
 
0714547660
ni fundi mzuri sana yupo Mwenge
Wanajiita The Spesho.
Wanashonesha suti nyingi sana za maharusi.
Nyuma ya TRA pale ukifika utawakuta
 
Kuna fundi bt anashona pvt i mean designer... Vipi nikupe number ake...
Duh hao madigner nitawaweza kweli...? Nipe niongea nae kama tukikubaliana itakuwa poa
 
0714547660
ni fundi mzuri sana yupo Mwenge
Wanajiita The Spesho.
Wanashonesha suti nyingi sana za maharusi.
Nyuma ya TRA pale ukifika utawakuta
Tena nipo karibu na mwenge ngoja niende sasahivi...respect bro
 
0659692563 number hiyoo mkuu... Huyoo jamaa ni designer wa suti nzuri bt ana mafundi wake... Am sure utaipata suti yako kwa wakati
Hii namba naambiwa haipo, kama una nyingine nipasie
 
Kuna jamaa hapa Kwa Aziz Ally Mtoni anashona vizur at reasonable price.
Kwa sasa namba yake cna but if uko serious nitakupeleka mpka of is in kwakd
 
Bakari yuko kinondoni pale vijana..ni balaaaa sie tunapigana vikumbi na JK kushona suti pale
 
Nenda Sygon kariakoo kuna jamaa wa kimakonde huyo yupo njema..nusu ya wabunge wanashona pale majuzi tu nilimkuta Rage pale ila namba sina.
 
Nenda Sygon kariakoo kuna jamaa wa kimakonde huyo yupo njema..nusu ya wabunge wanashona pale majuzi tu nilimkuta Rage pale ila namba sina.
Duh nipe ramani basi Sygon ndo pande zipi...isitoshe na mie mmakonde tutaelewana tu
 
Kuna jamaa hapa Kwa Aziz Ally Mtoni anashona vizur at reasonable price.
Kwa sasa namba yake cna but if uko serious nitakupeleka mpka of is in kwakd
Sasa wewe nitakuonaje bro...check me 0787 43 98 87
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom