Habari wana Jamvi;
Kama ilivyokawaida kuna wakati unaweza kuhitaji mawasiliano ya watu wa makampuni fulani muhimu kama vile wakurugenzi,na wakuu wa idara na wakati mwingine watumishi wa...
Wasalaam ndugu.
Kama kichwa habari kinavyojieleza,
nina maharage mengi zaidi ya kilo 3500 ila yameingiliwa na wadudu kwa kiasi kidogo sana. yapo aina mbili; soya na meupe madogo, ni maharage...
Nadhani wengi mnakumbuka sticker maarufu miaka flani nyuma yenye picha ya mtu na neno WAKA AKAW (wakawaka)..sticker (logo) hiyo inayoishi mpaka hivi leo kwa umaarufu wake hapa Tanzania, Inapendwa...
Wakuu bila shaka mko poa!
Natafuta gari ya kununua kwa ajili ya tour za mbugani!(Jeep,Land rover)
Iwe na hali nzuri,inaweza kwenda mbuga yoyote ile bila matatizo.
Iwe na mwonekano mzuri nje na...
habari zenu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Ni used ila ipo katika hali nzuri (good condition). haina tatizo lolote.
Sifa zake
Ina play video cd na ipo cable yake za kuunganisha...
Karibu ujifunze kuhusu biashara za coin za kiditali
kutrading coin
Nunua coin kwa bei ya chini
Na uza kwa bei ya juu .
Signal za bure pia zipo kila siku unapata signa ya bure moja
Andika...
Natafuta gari ndogo used such as GX100,VITZ etc ya kufanyia kazi za ofisini kama kwenda bank,ktk ofisi za makampuni,na mizunguko ya katikati ya mjini hapa Morogoro town,Itatumiwa na Accountant...
Habari wanajukwaa. Kama thread ilivyo hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni muhanga wa elimu ya vitabuni ambayo iko kinadharia zaidi kuliko vitendo naamini wote mnaelewa mfumo wa elimu yetu ya...
Salaam wakuu..!
poleni na majukumu ya kazi, samahani naomba kujua gharama za kutengeneza/kutengenezewa accounting software kwa ajili oganizesheni ni shilingi ngapi..?
Nina oganizisheni yangu...
Tunauza vifungashio vya plastic vilivyo bora kabisa na kwa bei nafuu.
Vifungashio tulivyonavyo kwa kiitaalamu vinaitwa plastic zip bag.
Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.