Nauza: SONY Walkman video cd & mp3 player bei nafuu sana.

Nauza: SONY Walkman video cd & mp3 player bei nafuu sana.

Mr Bean

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
206
Reaction score
178
habari zenu wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,

Ni used ila ipo katika hali nzuri (good condition). haina tatizo lolote.

Sifa zake
  • Ina play video cd na ipo cable yake za kuunganisha kwenye tv.
  • Ina play audio cd. (mp3)
  • Inatumia battery ( mbili size AA).
  • Inatumia umeme ( ina adapter yake). kama hamna umeme au upo safarini unaweka battery inapiga kazi kama kawa.
  • Ina remote yake. (remote control)

IMG_3323.JPG
IMG_3323.JPG
IMG_3324.JPG
IMG_3325.JPG
IMG_3326.JPG
IMG_3327.JPG
IMG_3328.JPG
IMG_3329.JPG

bei : Tshs 35,000/=

wote mnakaribishwa. ( napatikana Dar ).
ukihitaji ni pm au weka comment yako hapa.
 
Mkuu Una risiti yake?
sina mkuu, ilinunuliwa zamani kidogo. risiti nimepoteza, ila haijatumika sana. ipo katika hali nzuri. na ni original hii ( ilinunuliwa 200k )
 
Uko wapi? Naitaka aisee imenikumbusha mbali sana
 
habari zenu wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,

Ni used ila ipo katika hali nzuri (good condition). haina tatizo lolote.

Sifa zake
  • Ina play video cd na ipo cable yake za kuunganisha kwenye tv.
  • Ina play audio cd. (mp3)
  • Inatumia battery ( mbili size AA).
  • Inatumia umeme ( ina adapter yake). kama hamna umeme au upo safarini unaweka battery inapiga kazi kama kawa.
  • Ina remote yake. (remote control)

View attachment 720720 View attachment 720720 View attachment 720722 View attachment 720724 View attachment 720726 View attachment 720727 View attachment 720729 View attachment 720730

bei : Tshs 35,000/=

wote mnakaribishwa. ( napatikana Dar ).
ukihitaji ni pm au weka comment yako hapa.
kama unakaribisha wote waambie wanunue wote
 
bidhaa bado ipo kwa anae hitaji
 
doh , mzigo long time kitambo huo, hivi matumizi ya cd kumbe bado yapo
 
Back
Top Bottom