Machine ya kukoboa mahindi na kusaga ni bei gani.

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
Tafadhali wadau naomba kujuzwa bei ya mashine ya kukoboa mahindi na kusaga, nahitaji kuanzisha kiwanda cha kuchakata unga.
 
Mkuu unataka kuanzisha kiwanda mkoa gani?. Ukienda SIDO mkoani watakusaidia kujua hoja yako na jinsi ya kuanza mradi.
 
Wazo zuri hongera mkuu.

Pia ambao wapo kwenye hii biashara wangetuambia faida ipo vipi na jinsi ya kuendesha hii biashara kwa faida.

Na changamoto zake pia tuelezwe
 
Wakuu mm nipo na Mashine Zote za kusaga na Kukoboa , Chekecheke na kila aina ya mota inayohitajika katika kuchakata Unga .
Nipo Arusha , shida yangu ni moja tu .
"Eneo la wapi nitainstall hizi machine".
Mwenye muongozo please.
 
kuna chimbo nimeliona hapa dar ila nje ya mji kidgo naamini mtu anaweza kufanya kazi
 
Wazo zuri hongera mkuu.

Pia ambao wapo kwenye hii biashara wangetuambia faida ipo vipi na jinsi ya kuendesha hii biashara kwa faida.

Na changamoto zake pia tuelezwe
Tatizo watu hawataki kufunguka
 
Wazo zuri hongera mkuu.

Pia ambao wapo kwenye hii biashara wangetuambia faida ipo vipi na jinsi ya kuendesha hii biashara kwa faida.

Na changamoto zake pia tuelezwe
Kuna uzi humu, utafute
 
kuna chimbo nimeliona hapa dar ila nje ya mji kidgo naamini mtu anaweza kufanya kazi
Oya mwanangu type chimbo hilo basi. Pia usiogope competion maana hiyo ni Huduma. Manzese pale ukikuta mashine zilivojipanga na zinatafuna mahindi ileile
 
Mkuu nilifanyie research sehem moja maeneo ya kisarawe ndo anaanza kukua kua naamin mtu anaweza fanya biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom