Habarini wadau.
Nahitaji kushonesha suti za Harusi, nipo Dar kwa yeyote anayemjua Fundi mzuri aniwekee namba zake hapa tafadhali. Please aliye na reasonable price. Thanks
Ndugu mpendwa
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu
ENEO la ziwani hekari 30 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,
SIFA ZA ENEO...
Wadau habari ya muda!?
Mwenzenu nimeweka bajeti ya laki NNE(400,000) kwa ajili ya simu ya aina ya android!!
Naombeni ushauri simu gani nzuri naweza ipata kwa hela hiyo!
Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika...
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
Habari wanaJF
Natafuta mtu/company inyotengeneza vitabu vya malipo kwa ajili ya comapny/organization kama nilivyoorodhesha hapo chini:-
1. Cash Book
2. Payment Voucher
3. Pretty Cash Expenses...
kama kuna mtu yeyote anayeweza kutumia vizuri fire extinguisher, pia kuelekeza namna ya kutumia kwa watu wengine waliopo ofisini anitafute 0624 056531 kabla ya mwezi wa nne,2018
Kwa wenye uhitaji ujenz wa gharama nafuu wa nyumba za kisasa michoro na ushauri wa kitaalam tuna mafundi waliobobea.
Tunajenga na kukamilisha kulingana na makubaliano.
Wadau kama taarifa inavyojieleza, natafuta mdau wa kuniuzia korosho zilizobanguliwa kwa ajili ya kutuma nje ya nchi.
This is a serious deal, tafadhali weka mawasiliano yako hapa nikutafute...
Habarini wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza.
Natafuta mashine ya kisasa ya kukamua miwa na kutengenezea juice inayopatikana hapa nchini hasa mkoani Dar es salaam ??
Mashine ya kisasa hasa zile...
Ni utaratibu gani natakiwa kufwata ili niweze kuanzisha biashara ya kokoto. Kwa maana ya kufunga KRASHA la kuvunjia mawe.
Utaratibu ni upi huko serekalini?
Mwenye idea na hii kazi naomba uzoefu...
Tunakuletea mkopo kabambe wa ujenzi wa nyumba.
Tunatoa mkopo wa kujengewa nyumba ambapo utajengewa nyumba yako na kukabidhiwa funguo zako kisha kuanza kutumia nyumba yako utakavyo wewe.
Jinsi...
Wandugu natafuta pikipiki, sun lg, boxer, TVs Yamaha ama nyingine yoyote ambayo ni nzima. Ofa yangu ni 7k. Ikipatikana iliyoko arusha ama dar itapendeza zaidi
Habari wakubwa zangu,
Nimewaletea stationary ya kibabe zaidi ambayo inatoa huduma kwa bei nafuu kabisa sawa na bure.
Tunatoa huduma zote za secretarial services kama vile printing, typing, binding...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.