Nataka gari ya kukodi/car for rent au ya kununua kwa hire purchase. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka gari ya kukodi/car for rent au ya kununua kwa hire purchase.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kottler Masoko, Aug 5, 2012.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Natafuta gari ndogo used such as GX100,VITZ etc ya kufanyia kazi za ofisini kama kwenda bank,ktk ofisi za makampuni,na mizunguko ya katikati ya mjini hapa Morogoro town,Itatumiwa na Accountant wetu.
  Budget ni Tsh 300,000/= Month na nitaweka mafuta na maintanance ndogo nitafanya pia. Tuwasiliane kma utakubali pia kuuza after 6months kwa hire purchase.

  NB:
  NATAKA GARI ILIYOKUWA IMELIPIWA KILA KITU NA HAINA MATATIZO YA KIUFUNDI.:israel:

  KAMA HAUNA GARI USIJIBU HILI TANGAZO,maana wengine wataleta kejeli na kinaya zao hapa.:hand:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Acha ubahiri mkuu,Accountant mtafutie Prado to move him/her around!
   
 3. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,807
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hiyo 300,000 kwa mwezi, wiki au siku?
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Wewe unataka gari kweli??au umekuja ku showup kama unataka kukodi gari??mimi ninayo Toyota GX110 lakini kwa bei hiyo nibora nipige nayo misere ila kama unataka kununua...tuongee bei..lakini naona hatakununua kama hautaweza!wewe unataka kukodi gari kwa 10000??kutwa!
   
 5. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  budget ni hiyo ten per day,mia3 per month. lete idea zako tu-negotiate na siyo kejeli. siwezi kujishow hapa Jf ambako huoni hata sura ya mtu. kama huna cha kuchangia we potezea na wenye good terms wataongea na mimi.
   
 6. W

  Wenger JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  mimi Nina starlet last kama upo tayari kwa 20,000 aday poa chini ya hapo sipo tayari
   
 7. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante Mkuu,Maboss wangu niliwapa Tsh 30,000 per day wakaenda kuuliza dereva wa Tax hua anapeleka ngapi kwa Mwenye Gari na analysis yao ikaleta hiyo ni Tsh 10,000 per day so hata niongeze 100 hawatakubali.

  Mwenye gari anayeweza hilo dau anicontact kwa PM.
   
 8. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Kama bei mnalipa ya taxi waonaje mkodi taxi kwa siku! Often kuna hidden costs na pia dreva taxi anarudusha gari daily lkwa tajiri ila inaonesha nyie ni 27/7. Mkijipanga mtapata gari faster hata mi naweza kuwapa moja.
   
 9. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hebu ni-pm mkuu na namba yako tuongee....
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Unataka gari isiyokuwa na matatizo, maana yake imelipiwa registration na comprehensive insurance, Hapo tu unazungumzia sh. laki 6, ambazo ni sawa na pesa unayotaka kulipa kwa miezi miwili!
  Unasema utafanya minor repairs and services, ina maana major repairs hutafanya at the same time unataka gari iliyo kwenye hali nzuri, which means kwamba uiharibu wewe lakini usiwajibike kuitengeneza!!!
  Gari unataka kukodi sh. elfu 10 kwa siku wakati pikiiki kwa siku ni sh. elfu 7!!
  hao maboss wako waulize hizo taxi walizouliza za sh. elfu kumi ziko katika hali unayoizungumzia hapa? taxi zina kutu na kila shimo unalisikia halafu unafananisha na gari iliyo kwenye hali nzuri!!!
  Kama ni rahisi kupata taxi kwa sh. elfu kumi si umfuate mmiliki mmojawapo wa taxi uikodishe?

  Mwisho kabisa::: Ukianzisha thread hapa usiwaambie watu hawaruhusiwi kucomment, huna mamlaka hiyo. Ukshaiweka hapa thread inakuwa ya JF. watu washaumiza macho yao kusoma thread halafu unataka kuwaamulia kama wacomment au lah!!! chunga sana kijana...
   
 11. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo mkuu ndo umenisaidiaje?
  Acha kuropoka ropoka,hakuna aliyekuzuia kucomment hapa.
  suala ni kwamba wengi wenu mnadhania kumdhihaki mtu anapoweka thread JF ndo kuchangia,me nimetaka hapa uwe positive na kama u think negative basi haina haja we potezea tuu hii thread cuz hutakia Kujenga hoja za msingi (kama ulivopiga hizo calculations),Business Hailipi Kwako basi Inalipa Kwa Wenzako,siyo lazima wote tuuze nyanya kariakoo,kuna watakauza hadi Masalo.

  Ni sawa nimeanza kuapproach watu wa taxi na nimepata pia jamaa toka hapa JF anayo noah mpya na amekaribisha negotiation zaidi na i hope itakua material cuz he has shown all interests za kufanya biashara.
  Acheni mbwembwe ni hizo vyeo zenu za JF EXPERT MEMBER ukajiona ndo unajua kila kitu....mnatuharibia jamvi hili kwa hizo NEGATIVE comment zenu kila mara. :A S angry:
   
 12. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Nimekusaidia kujua kuwa huwezi kuchota maji kwa gunia...
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  dereva taxi ni tofauti, control ya gari badi iko kwa owner, hapa ni kwamba nakupa gari yangu, unakaa nayo 24/7.

  just to give you an idea ukienda kwa kampuni ya kukodi magari kama utataka kujiendesha unalipa zaidi kuliko kama unaendeshwa, why? ukijiendesha risk kubwa kwao, pia kwa muda wote unaokua umekodi gari unaishi nayo kwako.
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni kweli lakini hapo kweli red umekua mkali sana swahiba!
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo tunaouza Nyanya tusiongee hata kama umetoa note mbovu??Kwa hiyo hapa unacho pigania ni cheo cha JF siyo mada yako??Wewe huyo uliye mpata wa Noha njaa imemkaba Kooni!Shilingi 10000,kwa siku??Kweli huyo alipata mkopo akanunua gari sasa anashindwa kuirun...Hongera kwakupata gari lakini hapa JF ukiweka ushuzi tutakubackoff!!
   
Loading...