Natafuta samsung flat tv 32 inches used

Natafuta samsung flat tv 32 inches used

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,934
Zile zenye frem ndogo ambazo ni led.
Iwe haijabadilishwa kioo.
Niko dar
Bei isizidi laki nne itapedeza na isiwe na tatizo
 
Aaarghh!
Maduka huyajui au yapo jamii forum. Kama upon Dar nenda kariakoo utapata TV hiyo.
Sometime fika mahal husika siyo kupost upuuz huku.
 
Aaarghh!
Maduka huyajui au yapo jamii forum. Kama upon Dar nenda kariakoo utapata TV hiyo.
Sometime fika mahal husika siyo kupost upuuz huku.
Asante kwa kuchangia utakuwa mpuuzi kwa kuchangia kwenye thread ya kipuuzi
 
Zile zenye frem ndogo ambazo ni led.
Iwe haijabadilishwa kioo.
Niko dar
Bei isizidi laki nne itapedeza na isiwe na tatizo
Hiyo tv umepata
Nipo bunju mwisho ukipata nafasi nipe namba yako uje uchukue.
Siitumii kwa kuwa nina kubwa zake, ukifika home utaziona nazo pia ukihitaji nakuuzia nachukua nyingine
 
Back
Top Bottom