Maharage yanauzwa kwa bei ya hasara.

Maharage yanauzwa kwa bei ya hasara.

runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
523
Reaction score
241
Wasalaam ndugu.
Kama kichwa habari kinavyojieleza,
nina maharage mengi zaidi ya kilo 3500 ila yameingiliwa na wadudu kwa kiasi kidogo sana. yapo aina mbili; soya na meupe madogo, ni maharage kutoka bukoba

Haya nayauza kwa bei ya hasara kwa Tsh 1500 kwa kilo, nipo Dar es Salaam, Mbezi beach.

KARIBUNI SANA

Karibu dm kwa mawasiliano zaidi.
 
Picha ya hayo maharagwe iko wapi
 
No. ya simu ni +255625616673,
KARIBUNI SANA
 
Wasalaam ndugu.
Kama kichwa habari kinavyojieleza,
nina maharage mengi zaidi ya kilo 3500 ila yameingiliwa na wadudu kwa kiasi kidogo sana. yapo aina mbili; soya na meupe madogo, ni maharage kutoka bukoba

Haya nayauza kwa bei ya hasara kwa Tsh 1500 kwa kilo, nipo Dar es Salaam, Mbezi beach.

KARIBUNI SANA

Karibu dm kwa mawasiliano zaidi.
nilipe nikulekeze dawa ya kuweka na jinsi ya kuhifadhi wadudu wote watakufa na utayauza hata mwakani njoo PM Haraka sana, ukitaka ntakupa dawa na utayaweka hadi miaka 3 ijayo
 
Waonee huruma wana wa wenzio unawauzia maharagwe yenye wadudu!
usimuharibie biashara mwenzako, ameshaeleza dosari iliyopo na kalizingatia hilo katika kushusha bei, hapo muhimu ni picha na kuona, ukipendezeshwa unanunua. Tuwe na huruma jamani
 
Back
Top Bottom