Natafuta gari kwa ajili ya tour

Natafuta gari kwa ajili ya tour

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Wakuu bila shaka mko poa!

Natafuta gari ya kununua kwa ajili ya tour za mbugani!(Jeep,Land rover)

Iwe na hali nzuri,inaweza kwenda mbuga yoyote ile bila matatizo.

Iwe na mwonekano mzuri nje na ndani,
Isiwe ya wazi,


bei ni makubaliano na mwuzaji na ubora wa gari.

Itakuwa vizuri kama ipo dar au moro ili iwe rahisi kukaguliwa na fundi.

Usisahau kuambatanisha picha hapa.
 
Wakuu bado sijafanikiwa
 
ImageUploadedByJamiiForums1521580648.603906.jpg
mkuu mashine hii iko Arusha for more infos nicheck
 
Back
Top Bottom