Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Vimepimwa na hati zake kamili na malipo ya kodi zote,square meter 600 kila kiwanja.Ni pale lile eneo maarufu kama makazi ya wastaafu.
Sababu ya kuuza,shida na hela ya kuendeleza project zangu.bei...
Viwanja vipo mwanza maeneo ya mkolani nyahingi vina ukubwa wa 19/44mt, 26/42mt vimepimwa na vina hati havina mgogoro.
Kwa mnunuaji anayo fursa ya kununua kiwanja na kuunganisha cha pembeni...
Habari wakuu,
Ninauza shamba la miti ya mbao lenye ukubwa wa ekari moja.
-Shamba halijapimwa/ halina hati
-Miti ina umri ya miaka nane
-Shamba lipo kijiji cha Kipengere mkoani Njombe
-Shamba...
Kama wewe ni mmiliki au moja ya wamiliki wa kampuni zinazotoa huduma kama mtoa huduma (Supplier or service provider) na unapata changamoto katika kuandaa vitabu vya zabuni (tender documents) zenye...
Wadau nimejipanga kufanya manunuzi ya vifaa vifuatavyo ila nahitaji kujua bei ya kila kifaa kimoja nione budget yangu kama itaniruhusu msaada please kwa tulio pembezoni
1. Solar panel...
Nauza unga walishe unafaa kwa uji na ugali kila kifurushi kina vifurushi 3 ndani haijachanganywa na karanga ila karanga imefungwa pekee yake, ni unga mzuri na mtamu sana , nauza jumla na reja...
Jaman vyuma vimekaza nauza shamba langu mkuranga ekari 13(kumi na tatu) kwa bei ya shilingi 65mil. Ila maongezi yapo kidogo ila kwa yule anayeweza kunipa mkopo wa 45mil nimlipe kidogo...
NEEMA YA AJABU IMESHUSHWA!
Miliki kiwanja kilichopimwa
kwa Sh. 1,000 tu, kwa siku!
· Kina hati ya Serikali, utalipa kupitia simu yako
· Umeme na maji tayari vimefika kwenye mradi...
Wakuu, kichwa cha habari kinahusika..
Nahitaji kagari kadogo kadogo cha kimjini mjini, kama IST, Vitz, Allex, Raum au Sienta... Budget inaweza kupanda kidogo kama gari itakua imesimama... Kama...
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.