Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa matatizo ya Kiyoyozi (AC) fridge freeze na vifaa vyote vya kutengeneza baridi pia tunafunga na kurekebisha madishi umeme tupo kigamboni kinondoni na buguruni Tupigie kupitia namba 0673772880...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
This is the BEST NOAH 2007, very clean, in very GOOD CONDITION.. SPORTY RIMS 18 inches black with white stripes: NAUZA: HII NI GARI NZURI SANA TOWN KULIA kuku au Bush kote inaenda Overview: ...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
salaam... kama unahitaji UPS used kwa bei rahisi ya kutupa njoo pm au weka comment hapa. picha zime ambatanishwa. nb: battery imeisha, itabidi ui-replace kabla hujaanza kuitumia. sina...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu salama, Hivi unaweza kutofautisha vipi kati ya simu samsung original na fake?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Lina ukubwa wa eka 100 Lipo ktk kijiji cha Madeke ktk tarafa ya Lupembe mkoani Njombe Bei ya kila eka ni 150000 tsh Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0784340024,0655726929 au0764426929
0 Reactions
3 Replies
855 Views
Kama heading inavyosema, vinahitajika vifuatavyo -Engine aina ya JD ya mashine ya KUSAGA -Gearbox ya SCANIA BEI MAELEWANO Simu 0716411720
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naitaji camera used module hiyo iwe full good condition na pakage zake location mwanza 0753358283
0 Reactions
3 Replies
823 Views
Habari zenu wakuu. Ninauza kiwanja changu, kiko Madale, karibu na kituo kipya cha Polisi eneo maarufu kama Madale nguzo mbili, ni karibu sn na barabara kuu ambayo itawekewa lami hivi karibuni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mjasiriamali Mdogo ambaye kwa sasa nmejikita katika kutengeneza bites lakin uzalishaji wangu umekua n wakusua sua kutokana na kukosa vitendeakazi, Ukosefu huu unatokana...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Nyumba kubwa ya familia inapangishwa Tabata bima Master bedroom 1 Vyumba vya kulala 3 vingine Sitting room Dining room Jiko Public toilet Maji yapo 24/7 ya Dawasco Fence ya standard Big area...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Nahitaji kujuzwa wapi naweza pata soko la maboga, kwani nataraji kuvuna maboga takriban fuso moja au zaid mnamo mwezi wa nane. Nimelima mkoani Tanga wilaya ya Handeni...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Naomba kupata msaada samaki wa aina hii wanapatikana wapi Tanzania, koi fish. na gharama gani? Kama hakuna ikiwa nitagiza nje kama Brazil, Nitahitajika kuwa na health certificate?
0 Reactions
16 Replies
8K Views
nauza mbwa wa kizungu bloodline tofauti tofauti(roltroillers,german sherphered e.t.c) kwa bei nafuu tsh.450,000 sihitaji dalali kama unahitaji nipigie simu 0716385824....Napatikana kigamboni.kama...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wakuu. Nipo Arusha kwa sasa, nahitaji kununua laini tajwa hapo juu kwaajili ya kuanza biashara ya huduma za kifedha. Ukiwa Arusha itakuwa nzuri zaidi, tufanye biashara na kukuhitaji...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Habari zenu wana jamii,kwa alie na gari tajwa hapo juu naitaji kwa offer ya milion tano, Karibuni
0 Reactions
7 Replies
958 Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo morogoro mjini natafuta till tajwa hapo juu,mwenye nazo tuwasiliane 0759417989
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimepeleza cherehani moja kwa ajili ya kukamilisha kiwanda changu kipya ninachotarajia kufungua hv karibuni. hii ni ktk kuunga mkono juhudi na kutoa ajira kwa vijana. Hivyo...
0 Reactions
4 Replies
838 Views
Natafuta soko la vifaranga wa kuku wa kienyeji wa umri wa week moja. pia natafuta soko la kuku wakubwa wa kienyeji. kwa mawasiliano: 0713722589. tupo dar maeneo ya tabata
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Katika kuelekea msimu mpya wa masomo gs power installation ltd ikishirikiana na veta imeandaa mafunzo ya ufundi wa electric fence,cctv camera pamoja na alarm system.Mafunzo ni ya muda wa miezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom