WAKA WAKA STICKER

WAKA WAKA STICKER

dadeez

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
120
Reaction score
146
Nadhani wengi mnakumbuka sticker maarufu miaka flani nyuma yenye picha ya mtu na neno WAKA AKAW (wakawaka)..sticker (logo) hiyo inayoishi mpaka hivi leo kwa umaarufu wake hapa Tanzania, Inapendwa sana kubandikwakwenye vyombovya usafirihasa magari kwenye vioo na plate number.. binafsi nimekuwa nikivutiwa na umaarufu wake na kila siku naota nije kuipiku wakawaka logo kwa kuandaa logo yangu itakayoishi Daima lakini kwa kuniingizia pesa kila siku.

mwenye picha yake anaweza kuishare tukakumbushana vizuri.

Swali la msingi, kampuni gani nzuri inayoweza kuprint aina hizo za sticker(logo) kwa material mazuri yenye quality.

Note: Logo tayari imeshaandaliwa.
 
ipo mpaka sasa waka waka na wamerudi kwenye soko,,,
ila kuweni wapole maana wapo trial version ku test soko na latest design
 
Back
Top Bottom