M2pc
Member
- Jun 14, 2016
- 89
- 59
Habari wanajukwaa. Kama thread ilivyo hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni muhanga wa elimu ya vitabuni ambayo iko kinadharia zaidi kuliko vitendo naamini wote mnaelewa mfumo wa elimu yetu ya bongo. Nimesoma mpaka level ya chuo lakini kutokana na changamoto za kiuchumi sikumalizia masomo yangu. Napenda sana kuingia kwenye kilimo biashara (agribusiness) .Naomba yeyote mwenye knowledge ya kutosha na aina hii ya kilimo na mtaji wa kuwekeza Niko tayari kushirikiana nae . kukaa shamba na kulisimamia shamba na kulihudumia mpaka wakati wa mavuno. Kwa yeyote mwenye kuhitaji kijana wa shambani njoo PM.