Wandugu
Nauza Kiwanja changu kwa bei nafuu sana. Kiwanja kipo Bunju A Mtaa wa Senzele yaani ukishuka kituo cha Bunju A Shule unatumia dakika 8 kwa bodaboda kufika eneo kiwanja kilipo. Kina ukubwa...
Husika na kichwa cha habari
Natafuta NYUMBA ya vyumba viwili, sebule ,choo na jiko
Au chumba sebule ,choo na jiko
Haraka sana ,inahitajika maeneo ya ubungo
Mwenye nayo ani PM ,tufanye biashara
JE WAJUA VIZURI KUHUSU SUPER GRO???
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
-Super gro yaweza kukuongezea mazao mara tatu zaidi ya matarajio?
- Super gro...
Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni...
Nahitaji earphones nipo arusha Sinunui reja reja nanunua jumla kuanzia piece 5 na kuendelea hivyo nahitaji kWa bei ya punguzo kama unazo dukani na pia ziwe za aina yoyote za bei rahisi kama unazo...
Nyumba ipo Pumwani Mita mia 2 kutoka ilipo barabara ina vyumba viwili vilivyokamilika na ina eneo kubwa la kujenga metre 20 kwa 28 gari linafika hadi mlangoni kuna umeme maji ndo usiseme nauli ya...
Naitwa Enock, napatikana Mbeya, mimi ni fundi wa kutengeneza sofa pamoja na vitanda vya sofa. Napokea oda pia kama ukihitaji.
Mawasiliano yangu ni
0652874876,
0621053216 na
0758079171
Simu bado ipo kwenye condition nzuri, haina crake wala mchubuko kwenye screen, inahifadhi chaji, ina nchi 7, 16 Gb na 1 Gb Ram, kwa 180,000 tu, unapata na Flip cover yake.
Nipo kigamboni dar
Kuku wapo 60, wa miezi 2,3,4,5
Mitetea ndio wengi majogoo wachache
Bei kuanzia 11,000
Nna safari ya haraka sana hao wadogowadogo ni maelewano tuu
0625512092
0715878280
Habari wana jamvi,
Kampuni ya Urban Farming inayojihusisha na utafiti na uzalishaji wa viazi lishe, ikijikita nyanda za Kazikazini hususani mkoa wa Arusha.
Inakutangazia kuwa wameanza kuvuna...
Habari wandugu
Naomba kuuliza bei na sehemu wanaponunua miamvuli,nylon coats(rain coats) kwa bei ya jumla nataka niongeze bidhaa dukani mana ni fursa hasa kipindi hiki cha mvua.
Napatikana DSM...
HP compaq Desktop inauzwa 250,000/-
HDD 250 Gb
RAM 2.00 Gb
Processor Intel (R) Core (TM) i3-2120 CPU @ 3.30Ghz
One CD rom drive
Monitor DELL 21 inch
Keyboard
Mouse
All wire cable
Kwa mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.