Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,743
Nyumba ipo Pumwani Mita mia 2 kutoka ilipo barabara ina vyumba viwili vilivyokamilika na ina eneo kubwa la kujenga metre 20 kwa 28 gari linafika hadi mlangoni kuna umeme maji ndo usiseme nauli ya kutoka Moshi mjini hadi Pumwani ni 500 na ni dk 15 tu kufika town
ipo karibu na shule ya msingi
ina hati ya kijiji ya mauziano
bei mill 8 ila maongezi yapo na unaweza kunilipa nusu nusu kabla hujahamia
piga simu 0658825141
picha znafail nkiupload serious buyer njoo uione