Viazi lishe kwa bei ya shambani.

Viazi lishe kwa bei ya shambani.

urbanfarming

New Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana jamvi,
Kampuni ya Urban Farming inayojihusisha na utafiti na uzalishaji wa viazi lishe, ikijikita nyanda za Kazikazini hususani mkoa wa Arusha.
Inakutangazia kuwa wameanza kuvuna viazi lishe vyenye ubora wa hali ya juu kabsa.
20180416_200054.jpeg

20180416_195004.jpeg

Tunauza kwa bei ya shambani kabsa kuanzia mtu anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani hadi kwa wafanya biashara wakubwa kabsa.
Bei zetu:
1Kg = 800/=
Debe = 18000/=
Gunia = 120,000/=
Kwa maelezo zaidi tumia mawasiliano yafuatayo:
1. Simu piga: 0769067992
2. WhatsApp: 0625645475
3. Email: urbanfarming17@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom