Ukipata nishtue basi,Habari wandugu
Naomba kuuliza bei na sehemu wanaponunua miamvuli,nylon coats(rain coats) kwa bei ya jumla nataka niongeze bidhaa dukani mana ni fursa hasa kipindi hiki cha mvua.
Napatikana DSM ubungo
Asanteni
Kigoma, rejareja 3500 Midogo, 4000-6000 mikubwa/size ya kati. Karibu uchukuwe mzigoKibondo ipo mkoa gani? Vipi bei zake mkuu