PLATINUM INAKUPA MKOPO NDANI YA MASAA 24 DHAMANA YAKO NI MSHAHARA WAKO TU PILI UNATAKIWA UWE UMEAJIRIWA NA SERIKALI
VITU MUHIMU VYAKUWA NAVYO
1.passport 1
2.hati ya bank (bank statement)...
Kwa mahitaji ya bima za afya kwa ajili ya makampuni makubwa kwa madogo, familia, na mtu binafsi, Taaasisi, vikundi vilivyo sajiliwa. ni PM kwa maelezo zaidi au nitafute kwa
No. 0676 488 955...
Habari wana jukwaa
Natafuta pikipiki aina ya boxer 150 itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Tabora ili kusiwe na vijigharama vya ziada mf. usafirishaji
Ahsanteni
"Southern Consult and Agro-Products Company (T) Ltd (SCAP) ni kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na biashara mbalimbali za ushauri wa kitaalam wa uendeshaji miradi ya maendeleo (project...
There are over 20tons of raw ginger, a buyer needed!
Apart from fresh ginger there are also dried high quality cardamon over 10tones. Plz inbox if you are a buyer
Saalam kwa wote.
Naomba kufahamishwa eletronic payment system ambayo ni nzuri kuitumia kwa hapa Tanzania.Mfano wa electronic payment ni kama Neteller,Skrill,Webmoney,Cashu n.k.Nataka kujua hasa...
Habari wandugu
Natafuta mtu (mwenye bidhaa za nafaka kama Maharage,mahindi,choroko n.k) atakayekuwa ananisafirishia kwa bus kwa bei ya jumla. Mi napatikana DSM kimara. Kama unazo njoo pm tuyajenge...
Habari zenu wanajamvi!
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na upendo juu yetu.
Natafuta risiva ya freesat v7, combo au max , nimejaribu kupita kwenye blog mbali mbali nimeona bei yake...
OFA YA BANDO BEI YA KUTUPA #0627419653
Pata sasa GB30,Dakika 500 na sms unlimited mtandao wa Tigo,Voda na Airtel ndani ya siku 90,Kwa Gharama ya Tsh 20000
Kuunganishwa Nicheki hapa 0627419653
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Naitwa Tausi Hamidu Makeo, Wa Idara Ya Elimu Ya Msingi mkoani Lindi, Ruangwa..
Natafuta Mwalimu Wa Kubadilishana Naye Kituo Cha Kazi toka Mkoa Wa Dodoma au Morogoro, wilaya ya Gairo, Bahi...
Kwa wale wote wenye uhitaji wa fulanaa Kali zilizokwixha printiwa zinapatikanaa hapaa kwangu nichek kwa nambar 0658176932 or 0742036732 au unaweza kunichek instragram follow me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.