SOFA VITANDA VYA SOFA

SOFA VITANDA VYA SOFA

Nock

Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
45
Reaction score
23
Naitwa Enock, napatikana Mbeya, mimi ni fundi wa kutengeneza sofa pamoja na vitanda vya sofa. Napokea oda pia kama ukihitaji.

Mawasiliano yangu ni
0652874876,
0621053216 na
0758079171
IMG-20180414-WA0003.jpg
images-13.jpg
 
Weka bei usituchoshe kujiuliza maswali yasojibika
Kwa vitanda bei ni;
3 kwa 6 ni tsh 150,000
4 kwa 6 ni tsh 200,000
5 kwa 6 ni tsh 250,000
6 kwa 6 ni tsh 300,000

Kwa sofa bei inategemea na aina ya sofa pamoja na kitambaa lakini zipo za kuanzia tsh 500,000 na kuendelea kwa seti 1.
 
Back
Top Bottom