Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa anaye uza kingamuzi cha azam used tutafutane nipo Arusha town 0759547047
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Wakuu wapi wanauza mifuko ya jumla ya rambo??? Au kama kuna mtu anamjua supplier wa jumla anijuze.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunauza Kiwanja Salasala Marobo. - Direction: Kutoka Salasala Mwisho wa rami hadi kwenye Kiwanja ni Kilomita 2. - Ukubwa wa uwanja ni 400sqm. - Una leseni ya Serikali ya Mtaa - Umeme Upo - Bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa wale trader wanaotaka kutrade na FXTM soon watakuwa na seminar buree kabisaa akuna mambo ya fees hapa jiunge ufungue account kwa maelezo lini na saa ngapi Online Forex Trading Broker |...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana nilitangaza kuuza pikipiki yangu,,asanten kwa wote mlionishaur naambatanisha na picha,,pikipiki ipo posta karibu na ofisi za bot!! Document zote ninazo,,ina bima lakin third part inaisha mwez...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbinu mbalimbali za kupamba keki kwa njia rahisi, kwa vifaa vya kawaida kabisa unavotumia nyumbani kwako. utapata ubunifu zaidi. kwa 2000/= tu (nafundisha ndani ya wiki mbili). Online course kwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
√ Viwanja Vimepimwa Vina Offer. √ Vina Ukubwa Mbalimbali. Direction: 3Km Kutoka Goba njia nne. Bei : Tsh 25,000/1SquareMeter [emoji767] 0685917621
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kunavojieleza. Naitaji msaada wa taarifa kuhusu soko la kuku au wanunuaji wa jumra jijini dar es salaam. Kuku ni wakienyeji toka singida, bei maelewano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kowak Girls' High School, shule bora kabisa kwa sasa kanda ya ziwa. Karo yao ni nafuu, in shilingi milioni mbili kwa mwaka na inalipwa kwa awamu nne. Godoro na kitanda, na chakula vinapatikana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei 3.2ML inadocument zote sijaikatia insurance.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani nahitaji yoyote mwenye gali ndogo kama ist, , Ractis na anaitaji aingize pesa kupitia UBER tuingie mkataba kwa wiki nimletee hesabu ya 200,000 kwa wiki tuandikishane gali iwe kwenye hali...
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Natumaini mu-wazima wakuu, kama mada inavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua nyumba kwa ajili ya kufanya biashara ya kupangisha.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu na jamaa, Naitwa Enock, napatikana Mbeya mimi ni fundi wa sofa pamoja na vitanda vya sofa. Bei za vitanda ni kama ifuatavyo; 3 × 6 sh 150,000 4 × 6 sh 200,000 5 × 6 sh 250,000...
2 Reactions
6 Replies
12K Views
Ukubwa wa kiwanja ni hatua 20×40. Kipo umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya morogoro kuelekea Simbani/Halmashauri ya Mji Kibaha. Bei shilingi 5.5 M. Njoo PM.
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Ninauza simu mpya za kisasa toka nje ya nchi kwa bei nzuri kabisa. kama unahitaji unaipata ndani ya siku 5- 7 unaletewa ulipo. utaratibu ulivyo ni kuwa utatoa Advance kiasi ambacho tutakubaliana...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Haina tatizo.
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Waungwana, nimepata soko la ''organic honey'' inayopatikana hasa Tanzania natafuta mtu wa ku-partner awe na kampuni yenye business profile na certified ya TFDA Please inbox
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je unataka kujiajiri lakini hauna wazo ufanye biashara gani? Je una mtaji kidogo chini ya 100,000? Je wewe ni mchapakazi na muaminifu? BEAH NUTRI-FLOUR inajihusisha na uuzaji wa unga bora wa...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Habari zenu wakuu…! Sasa waweza kupata mayai ya kienyeji (fresh) yaliyotagwa ndani ya masaa 48 (siku mbili) moja kwa moja kutoka shambani (Bunju B – Mabwepande), yanafaa kwa kuliwa na pia kwa...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
We live in a world where 2 + 2 = 5, Just as 1 + 1 +1 = 1 If you are confused [emoji53], read this: Who is god? Jesus Is Jesus the son of Mary? Yes Who created Mary? God. Who is God? Jesus...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom