Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

*Bei 185,000 *Risiti zake zote bado zipo *8 mega pixel front camera *13 megapixel back camera *INTERNAL MEMORY 16 GB *Finger sensor touch *RAM 1 GB *Colour Black *Location Dar es Salaam...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
TUNAUZA NAZI KWA BEI YA JUMLA NAZI KUTOKA KUSINI (LINDI & MTWARA) NAZI BORA ZILIZOKOMAA UKIAGIZA NAZI KUANZIA 1000 TUNAKUSAIDIA KULIPA USHURU. NB: TANGAZO LIMEANDIKWA TAREHE 23/3/2018 BEI YA NAZI...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Salam wakuu. Nahitaji image transfer belt ya hp printer model cp3525n. Asante.
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Habari wana jamvi.... Please to recommend Sound/ Music System ya ukweli nayoweza nunua hapa Bongo land na duka lipi hasa + bei... The system should support current and future (about +5 years to...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuku Tanga inakuletea punguzo la bei Kwa kuku chotara Aina ya kuroila. Bei zetu nii 1: Tsh 1,800 Kwa kifaranga cha siku moja. 2: 2,500 Kwa wk moja 3: 3000 Kwa wk mbili 4:3,500 Kwa wk tatu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kupatiwa masaada wa wapi naweza pata pump za maji kama hii pichani kwa Dar au Mbeya pamoja na bei zake.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza dishi la star times ambalo limetumika kwa miezi mitatu tu lina kila kitu kinachotakiwa kuanzia dishi lenyewe,waya ,king'amuzi na remoti pia kumbuka kwa wapenzi wa mpira ndo king'amuzi pekee...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi Salaaam Naomba mwenye uelewa au ufahamu wa mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa( alternative charcol ) na soko lake anijuze,pia na masoko ya bidhaa yaani mkaa wenyewe kwa hapa...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu, Anayeuza bajaji kwa 3M anitafute. Ila bajaji iwe TVS nzima full vibali then nitakuja kuikagua tufanye biashara. Nipo Tabata Dar
1 Reactions
6 Replies
856 Views
Habari wadau! Kuna simu inauzwa Huawei Y330 kwa Tsh.45000 tu,mawasiliano 0673269820.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauza iphone 6s yenye gb 64 colour gold ipo good condition na haina tatzo lolote warranty 6 months ina chaja earphone na cover Location nipo GOLD MINE BUTIAMA MUSOMA vijijin mzigo unakufikia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunakodisha vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daresalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari ndugu kwa wagonjwa wa magonjwa kama kisukari,stroke n.k............. kuna tiba lishe zinazosaidia kwa kiwango kikubwa sana ambapo watu wengi wanaimarisha afya zao na hatimaye kupona kbisa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Brand : DELL Condition: NEW ! Processor: INTEL CORE i5-7300HQ QUAD CORE RAM : 8GB Storage: 1TB GRAPHICS CARD: GEFORCE GTX 1050 4GB Price : 1.7m For serious buyers contact me at: 0769 524 022...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Wale wanaotarajia kununua king'amuzi cha DStv baada ya March 30 utafaidi miezi miwili ya bure kabisa channel za kufa mtu. Ukinunua baada ya hapo hutapata miezi miwili ya bure. Nimewapa tu taarifa!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
DAVIS CROSSBREEDING Ni Wazalisaji wa vifaranga chotara, Bata aina zote, kanga, kware, Njiwa wa kizungu na kuku wanaotaga mayai ya blue. Vifaranga wazalishwao na Davis crossbreeding ni wazuri...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Kama kinavyoonekana hapo kitanda kinauzwa kipo sinza mugabe, mcheki muhusika kwa namba hiyo,bei yake Laki 3 na elfu 70 maongezi yapo +255 679 214 045
0 Reactions
9 Replies
3K Views
0628557409
1 Reactions
0 Replies
768 Views
Habari, tumeanza program mpya ya Nursery Teaching course, sifa muhimu ni mwambaji awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu kwa D tatu ikiwemo English language. "learning for life" Call us today...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Back
Top Bottom