mandingo 94
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 269
- 196
Habari
Naomba kujua gharama za embe bei jumla
Naomba kujua gharama za embe bei jumla
Ana uzu shingapiJuzi nmeenda soko la Buguruni kuna Dodo nmezikuta nyingi afu nene.Nkauliza hizi Embe mbna zimenona za wapi hizi jamaa akanambia hizi zinatoka Sudani nlishangaa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embe dodo sio,.. njoo chumbani kwangu yamejaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Tangazo lako lina utata kidogo ndiyo maana unapata majibu ya namna hii.Cjui utakuwa lini[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Mim nafanya biashara ilala natufuta wakulima wa mikoana maana alikuwa ananiletea nataka nimuachaMkuu Tangazo lako lina utata kidogo ndiyo maana unapata majibu ya namna hii.
Nenda buguruni sokoni kafanye survey
Kama unataka bulky unaweza kufanya mchakato pale pale
Ilala makao yangu sehemu gani nije kukuunga mkono?Mim nafanya biashara ilala natufuta wakulima wa mikoana maana alikuwa ananiletea nataka nimuacha
Hata parachichi zinatoka Burundi siku hiziJuzi nmeenda soko la Buguruni kuna Dodo nmezikuta nyingi afu nene.Nkauliza hizi Embe mbna zimenona za wapi hizi jamaa akanambia hizi zinatoka Sudani nlishangaa sana
Kwa hiyo?Wewe najua unaenda kwa sababu ya hilo jina lake la Mandingo tu.
Nitanie mmu na jlw ila siyo huku.Natania
Nitanie mmu na jlw ila siyo huku.
Peace [emoji111]Noted