Inawezekana inategemea na sehem ulipo nazi zimekua adimu na zimepanda bei sana na nazi za kilwa ndo zenye bei sana hata masokoni..hiyo ndo bei yangu mimi kutokana na ninayochukulia shambaniiMhhhhh,
Mbona hiyo 1,000/= ndio bei ya gengeni dada yangu?
Nazi ya buku gengeni ni ndogo kama mpira wa kitenesi... Kubwa ni mpaka 1600!Mhhhhh,
Mbona hiyo 1,000/= ndio bei ya gengeni dada yangu?
My dear hiyo bei ya 1200 labda unauza Masaki usilazimishe ukweliSawaa ila mm kwa jumla nauza 700 moja kwa nazi 100 ambzo ukuwa wake unaweza uza mpka 1200
Dada nenda huko wanaponunua nazi kwa 1500,yaani mimi ukiniletea nazi 200 kwa 500,500 nitachukua,Sawaa asantee lkn pia hyo bei inategemea na ukubwa wa nazi huo mda unaotumia kwenda kutafta nazi stereo mm nakuletea ulipo na nazi yangu nina uhakika nayo ni kubwa na imekomaa...asante sana kwa ushauri wako zipo sehem wananunua nazi 1500
Unaweza niletea nazi nyingi kwa 500,500?Hahaha sasa ulikua unabisha nn si ungesema tu kama unahitaj kwa hyo bei yako...umebisha as if watu wote wanachukua hzo nazi 200..anyway asante