Mi ni mpenzi sana wa music hasa old schools. Napendelea sana music kutoka afrika na kidogo amerika hasa music wa miaka ya 70's, 80's na 90's. Cha ajabu nafurahi sana music huo nikiusikiliza...
HABARI WANAJAMII FORUM
Nipende kuwajulisha kuwa tunasambaza mahindi kwa ya unga TANZANIA
MAWAKALA WETU
DAR - ES-SALAAM
MWANZA
ARUSHA
SONGWE
Bei 55000 /=@100kg Sawa na gunia
USAFIRI - BURE...
Wakuu,nyumba yangu inavuja sehemu nyingi sana.Mabati yake ni ya migongo kutoka ALAF ya Africa kusini.Niliezeka 2011,mwanzo hayakuniletea shida Ila baadae yakaanza kuvuja.Sasa natafuta wataalamu wa...
Wakuu habari za leo.
Nina conteiner langu nafanyia biashara ya duka na pub. Mbezi ya Kimara. Natafuta kampuni za vinywaji, sigara au bidhaa mbalimbali mbali waje kuchora kwaajili ya kutangaza...
Ipo Canon 700D ina lens ya 75-300mm , battery , charger pamoja na 16GB Memorycard
Bei ni 1.2M
Bado mpya kabisaa niliinunua pale Jumbo Posta mwaka huu mwanzoni.
Nipo Ilala
Nitafute kwa 0765961152
Tally ERP 9 FREE TRAINING COURSE ARUSHA
Powercomputers kupitia PCTL Training institute ni kampuni iliyobobea katika Huduma na mafunzo ya Tally ERP.
Sasa tupo Arusha Mjini, Jacaranda Street...
Habari wana JF.
Tunauza nyumba yetu iko Sinza E,nyuma ya Lion hotel, Dar es salaam kwa Sh 82,000,000.Nyumba ina vyumba 4 vya kulala,kimoja kati ya hivyo ni master bedroom.
Ukubwa wa eneo ni...
Printer aina ya HP OfficeJet 7510 wide format kwa sh 470,000 tu.Iko Tegeta Wazo,DSM haijatumika kabisa.Ina print,scan,copy na fax na ina print sizes tofauti ya karatasi pamoja na picha.
Aliye...
Nahitaji gari aina ya IST iliyotumika lakini iwe na hali nzuri kwa matumizi ya kutembelea mjini na kuitumia kwa safari za mbali.
Bajeti yangu ni mil.6,500,000/=Tsh.
Mwenye nayo naomba anicheki PM...
Tunatengeneza mifumo mbalimbali kulingana na mahitaji yako ya kiofisi na yale yasiyo ya kiofisi (computer systems) kwa kutumia language zifuatazo HTML, CSS, Java Script, C, Php, Java na Python...
Haya tena suluhu ya kuishi mabondeni.Nyumba nyumba 6 vingunguti kidarajani hapo kwa bei ya kutupa kwa wenyewe matatizo ya kusumbuliwa na mafuriko.Bei ya kuongeza kabisa.Ipo kweny eneo hilo la...
Nahitaji tanki la maji lililotumika la lita 2000. Aina iwe Simtank na liwe zima na lisilovuja wala kutoboka na bei yangu ni 170,000.
Kama unalo basi naomba unitumie namba yako ili nikutafute.
Thanks