Wakuu,nyumba yangu inavuja sehemu nyingi sana.Mabati yake ni ya migongo kutoka ALAF ya Africa kusini.Niliezeka 2011,mwanzo hayakuniletea shida Ila baadae yakaanza kuvuja.Sasa natafuta wataalamu wa kuziba.Mwanzo walinizibia mafundi wa mtaani kwa Kutumia Maroo(lami) kwenye kila msumari Ila tatizo limekuwa likijirudiarudia sana