Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

HABARI WANAJAMII FORUM Nipende kuwajulisha kuwa tunasambaza mahindi kwa ya unga TANZANIA MAWAKALA WETU DAR - ES-SALAAM MWANZA ARUSHA SONGWE Bei 55000 /=@100kg Sawa na gunia USAFIRI - BURE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau,kwa yeyote anayetaka kujenga Simiyu,nina kiwanja kule,nimeamua nikiuze,kina ukubwa wa 37M kwa 17M kipo Busega,kijiji cha mwamagigisi,ukiweza,nipe laki 4 tu,mawasiliano,njoo PM Jamanii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu,nyumba yangu inavuja sehemu nyingi sana.Mabati yake ni ya migongo kutoka ALAF ya Africa kusini.Niliezeka 2011,mwanzo hayakuniletea shida Ila baadae yakaanza kuvuja.Sasa natafuta wataalamu wa...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakuu habari za leo. Nina conteiner langu nafanyia biashara ya duka na pub. Mbezi ya Kimara. Natafuta kampuni za vinywaji, sigara au bidhaa mbalimbali mbali waje kuchora kwaajili ya kutangaza...
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Tunatoa mafunzo ya jinsi ya kutumia SPSS kuanalyse data.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo Canon 700D ina lens ya 75-300mm , battery , charger pamoja na 16GB Memorycard Bei ni 1.2M Bado mpya kabisaa niliinunua pale Jumbo Posta mwaka huu mwanzoni. Nipo Ilala Nitafute kwa 0765961152
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tally ERP 9 FREE TRAINING COURSE ARUSHA Powercomputers kupitia PCTL Training institute ni kampuni iliyobobea katika Huduma na mafunzo ya Tally ERP. Sasa tupo Arusha Mjini, Jacaranda Street...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF. Tunauza nyumba yetu iko Sinza E,nyuma ya Lion hotel, Dar es salaam kwa Sh 82,000,000.Nyumba ina vyumba 4 vya kulala,kimoja kati ya hivyo ni master bedroom. Ukubwa wa eneo ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Printer aina ya HP OfficeJet 7510 wide format kwa sh 470,000 tu.Iko Tegeta Wazo,DSM haijatumika kabisa.Ina print,scan,copy na fax na ina print sizes tofauti ya karatasi pamoja na picha. Aliye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji gari aina ya IST iliyotumika lakini iwe na hali nzuri kwa matumizi ya kutembelea mjini na kuitumia kwa safari za mbali. Bajeti yangu ni mil.6,500,000/=Tsh. Mwenye nayo naomba anicheki PM...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunatengeneza mifumo mbalimbali kulingana na mahitaji yako ya kiofisi na yale yasiyo ya kiofisi (computer systems) kwa kutumia language zifuatazo HTML, CSS, Java Script, C, Php, Java na Python...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Haya tena suluhu ya kuishi mabondeni.Nyumba nyumba 6 vingunguti kidarajani hapo kwa bei ya kutupa kwa wenyewe matatizo ya kusumbuliwa na mafuriko.Bei ya kuongeza kabisa.Ipo kweny eneo hilo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji tanki la maji lililotumika la lita 2000. Aina iwe Simtank na liwe zima na lisilovuja wala kutoboka na bei yangu ni 170,000. Kama unalo basi naomba unitumie namba yako ili nikutafute. Thanks
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa hili alilofanya@officialalikiba leo la kuzindua kinywaji chake cha #MOFAYA DRINK kinampaisha vipi katika maendeleo yake binafsi na kimusic? Sasa hapa najua Diamond atanuna kwa hichi kikubwa...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Nauza invetor yangu mascot shine wave bei 900,000/-tsh .input 12 dc output 230 ac 1000w
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa juu,mm nahitaji Samsung note 5 gold,napatikana kigamboni kwa namba 0688811110
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Hii nyumba hinauzwa, hipo Bweni ina square metre 1200. kwa maelezo zaidi piga simu 0714 768080 / 0786 55 8533.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tunakodisha na Kuuza vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Nina pikipiki mbili mpya, SANLG na zishalipiwa vibali vyote. Swali langu ni hili, je kuna makampuni ya courier services ambayo naweza kuwakodisha wakawa wananilipa kwa mwezi? Au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom