Nahitaji tanki la kuhifadhia maji

Nahitaji tanki la kuhifadhia maji

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,100
Reaction score
440
Nahitaji tanki la maji lililotumika la lita 2000. Aina iwe Simtank na liwe zima na lisilovuja wala kutoboka na bei yangu ni 170,000.

Kama unalo basi naomba unitumie namba yako ili nikutafute.

Thanks
 
Back
Top Bottom