Njoo nikuuzie biashara

Njoo nikuuzie biashara

Tumeona mkuu. Ofice ipo maeneo ya wapi?
 
Kama nimekuelewa vizuri bei ni TSha 250,000/=. Na Je, hivo vitabu, documentaries na material nyingine vyote vipo kwenye soft copy ndani ya hiyo external hard drive?

Shukrani
Vipo vyote mkuu
 
Series zaidi ya 100 plus 500 movies achilia mbali kuna documentary zote ndani ya 1 TB vinatoshaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom