Natafuta turntable (record player)

Natafuta turntable (record player)

Aadilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
645
Reaction score
464
Mi ni mpenzi sana wa music hasa old schools. Napendelea sana music kutoka afrika na kidogo amerika hasa music wa miaka ya 70's, 80's na 90's. Cha ajabu nafurahi sana music huo nikiusikiliza kupitia turntable (record player) au wengine wanaita grammaphones. kwa yeyote aliyenayo ikiwa nzima pamoja na sahani zake (records) wengine huita santuri ani pm tuongee biashara
 
Check na jamaa shule ya uhuru pale kipindi flani walikuwa nazo za Philips mie ninayo ila ni kwa manufaa yangu mwenyewe na kizazi changu Phillips 33/45 with changer.Ila santuri ninazo kadhaa tunaweza ongea biashara kwa mfano la The jackson Five na mengineyo kadhaa kama utakuwa interested ni PM.
 
Nakumbushia Tangazo langu hili, Bado nahitaji hii kitu
 
Kuna watu wanazo, hawajaona hili Tangazo labda kiongozi unisaidie kuulizia,
 
Mkuu ingia Instagram umtafute jamaa anajiita (ngoshoinnovate) anazo hizi mambo
 
Back
Top Bottom