Natafuta kampuni zitangaze biashara kwenye jengo langu

Marambo

Senior Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
104
Reaction score
69
Wakuu habari za leo.
Nina conteiner langu nafanyia biashara ya duka na pub. Mbezi ya Kimara. Natafuta kampuni za vinywaji, sigara au bidhaa mbalimbali mbali waje kuchora kwaajili ya kutangaza biashara zao. Ni free hitalipia ninataka tu container liwe na mvuto wa kibiashara. Karibuni
 
Nataka kampuni za bia, soda, sigara nk nk. Hata zaidi ya moja. Kwasbabu eneo ni kubwa. Nitumie sms kwa namba 0716082570.
 
Siyo Kwamba Ungeenda Kwa Ofisi Zao Ukaonana Na Watu Wa Marketing,itakuwa Zaidi Au Wakija Eneo Hilo Kusambaza Bidhaa Omba No Za Wahusika
 
Back
Top Bottom