Nahitaji kingámuzi cha startimes cha antena

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Nahitaji mtu aliepo Songea ambae anauza kingamuzi chake cha Startimes tufanye biashara

ofa yangu ni 20,000 hadi 30,000

Mawasiliano 0754 085675
 
juzi kati nilienda kuliza bei ya king'amuzi cha antenna cha startimes daah kuna dada nikamkuta pale kumuliza ananiambia elfu 58,000 nilichoka..mimi nilijua ni 20. Nikasepa
 
Back
Top Bottom