Nyumba inauzwa Sinza-E Dar es salaam - Mil 82

Nsemwas Junior

Senior Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
173
Reaction score
60
Habari wana JF.

Tunauza nyumba yetu iko Sinza E,nyuma ya Lion hotel, Dar es salaam kwa Sh 82,000,000.Nyumba ina vyumba 4 vya kulala,kimoja kati ya hivyo ni master bedroom.

Ukubwa wa eneo ni square meter 250,parking ya gari ipo na nyuma ya nyumba kuna nafasi ya kutosha.Nyumba ina hati na umeme na maji vipo.Ni nzima inahitaji maboresho kidogo tu.

Mazungumzo ktk bei yapo.Mawasiliano 0714-796778 au WhatsApp 0628-615685.PICHA ZA NYUMBA njoo Whatsapp au nitumie email yako kwenye SMS nitakutumia.

KUTOKANA NA SHUGHULI ZANGU NYINGI SITAWEZA KUJIBU KILA COMMENT HAPA,TAFADHALI NITAFUTE KWENYE SIMU
 
Duh,
aisee
 
Sinza then million 82? Square meter 250? Plus parking juu........ hata huku kwetu simiyu huwezi kununua kwa hiyo bei

Ndogo sana
 
Habari wana JF.

Tunauza nyumba yetu iko Sinza E,nyuma ya Lion hotel, Dar es salaam kwa Sh 82,000,000.Nyumba ina vyumba 4 vya kulala,kimoja kati ya hivyo ni master bedroom.

Ukubwa wa eneo ni square meter 250,parking ya gari ipo na nyuma ya nyumba kuna nafasi ya kutosha.Nyumba ina hati na umeme na maji vipo.Ni nzima inahitaji maboresho kidogo tu.

Mazungumzo ktk bei yapo.Mawasiliano 0714-796778 au WhatsApp 0628-615685.PICHA ZA NYUMBA njoo Whatsapp au nitumie email yako kwenye SMS nitakutumia.

KUTOKANA NA SHUGHULI ZANGU NYINGI SITAWEZA KUJIBU KILA COMMENT HAPA,TAFADHALI NITAFUTE KWENYE SIMU
mkuu mbona unasema inahitaji marekebisho kidogo wakati imejaa nyufa nyingi upande wa mbele, hapo pembeni, na hizo bati zinavuja huo upande wa pili..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom